RAIS Dk. Hussein Ali Mwinyi awahimiza Waislam kutumia misikiti katika masuala yanayohusu jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mbali ya ibada ni vyema misikiti ikatumiwa katika masuala yanayohusu jamii. Alhaj Dk Mwinyi aliyasema hayo leo wakati akitoa nasaha zake katika ufunguzi wa Masjid Shifaa,  Mwembetanga, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbali